Freeman Mbowe, WaTanzania ni zaidi ya Kamati kuu ya CHADEMA

Freeman Mbowe, WaTanzania ni zaidi ya Kamati kuu ya CHADEMA

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
Salamu kwako Mzee wangu Freeman Mbowe a.k.a FAM.
Ni Matumaini yangu u heri wa Afya.
Dhumuni la Waraka huu ni kukuelezea Yafuatayo / bucketed

1. Inawezekana kabisa una Ushawishi Mkubwa ndani ya Kamati Kuu ya CHADEMA hence wakakupigia Kura nyingi na kuwa Mwenyekiti.

2. CHADEMA kilishavuka stage ya Kuwa chama cha Mtu/ kikundi cha watu, CHADEMA kwa sasa ipo Mioyoni mwa wa Tanzania wengi,CHADEMA ni kama Imani ya dini

3. Ukifanya Research kidogo, utaona wa Tanzania wengi (reffer to bucket #2) wanataka Tundu Lissu ndio awe Mwenyekiti wao wa Chama.

Kwa Kuzingatia hayo, Mzee wangu FAM nawiwa kukujulisha kuwa Wa Tanzania ni zaidi ya Kamati kuu ya CHADEMA
Wape heshima wa Tanzania, step down, Muachie TAL Nafasi ya uenyekiti.

NB:
Haya yote utayakubali kama unapenda CHADEMA kuendelea kuilinda Imani CHADEMA iliyomea Miyoni mwa wa Tanzania mithili ya Imani ya dini.

Ni Hayo tu kwa leo
 
Mungu ni mwema sana
 
Back
Top Bottom