Freemason na imani zetu

ngosha01

Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
41
Reaction score
11
Taratibu nipo kitaa mara naona kibao"TUNAUNGANISHA FREEMASON"Duh naeaza hawa ndo wakina Jay z.wanatafuta watu?siku hizi superstar uking'aa na kawimbo kako au kamovie,ukapata viela we ni Freemason.naona ni jinsi gani hatupendi maendeleo ya wasanii wetu wala wasifanikiwe.so broo au msista maendeleo siku hizi ni Freemason.poa imani hii ndo inafanya wabongo tuwe chini dunia ya tatu upande z.Freemason hatuielewi na wala hatuifahamu vizuri.poa mafree siku njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…