Freemason walivyotoa pole kwa kifo cha Malkia

Habari za freemasons zimeshachuja..si issues tena. Watu fanyeni kazi.
 
Pamoja na kuwa sifuatilii kivile ishu za freemasons, ila hii meseji ipo kimchongo sana. Yaani haieleweki ni salamu za pole au ni utambulisho wa freemasons kwenye familia ya Malkia.
Nilichotaka kuandika umeshamaliza.
 
Gharama za kuendesha ikulu la kifalme ni kubwa , kuna faida gani? Kumbe nimegundua imebidi iwe hivyo ili kulinda utawala wa jinsi hiyo.
 
Kwamba Freemasons walijitokeza hadharani na risala zao kufuatia kifo Cha Malkia Elizabeth II?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…