Freemasonry

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83

vipi wana JF hii alama ina maanisha nini?
 
Hawa ni waabudu shetani. Na kwa experience yangu ya alama za barabarani zinavyokuwa na tafsiri zake huenda hapa jamaa wanasema "hakuna MUNGU". Hili ni kundi la ambalo linaendesha mambo yake kwa siri kubwa na ni ushetani mtupu.
 
mweh! are you serious? huh
 
wewe si unajua kazi ya vifaa hivyo means haviruhusiwi na mara nyingi huonyeshwa kwenye paper usivitumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…