Freemasons: Chukua tahadhari

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
560
Ifahamike kuwa kuanzia tarehe 11 hadi 20 ya kila mwezi wa nne kila mwaka huwa ni siku mahususi za kutoa sadaka (kafara) kwa Wajenzi Huru katika lugha ya kigeni ( Freemasons ) kwa kile kinachoamika kuwa ni utekelezaji wa agizo ambalo mwanachama (member) hulikubali mara ya kwanza anapokuwa amejiunga na kundi hili la Wajenzi Huru.

Kuna baadhi ya Watanzania wenzetu waliokwisha jiunga tayari na hili kundi na sasa wapo katika hatua ya kutekeleza ahadi zao hizo za Kimasonia za kila terehe 11 hadi 20 ya mwezi wa nne kila mwaka. Ndani ya hizo tarehe huwa kunakuwa na mfululizo wa kuwepo kwa matukio mbalimbali ya umwagaji damu hususani matukio ya ajali za magari ambazo uhusisha mauaji makubwa ya watu kwa kumwaga damu aidha kwa kupoteza maisha kabisa au kupata majeraha mbalimbali yatoayo damu kwa wingi. Kwa kipindi hiki cha utoaji sadaka kwa hili kundi la Wajenzi Huru (Freemasons) ni vema sana kuwataarifu ndugu, rafiki na jamaa zako wa karibu kujiepusha na safari zinazohusiana na magari kwa kusitisha safari zako hadi pale hizo siku za Kimasonia (Masonic Days) zitakapopita.

Ifahamike kuwa utoaji sadaka kwa njia za ajali za magari inakuwa ni rahisi sana kwa sababu Wajenzi Huru wote hupata urahisi huo katika upatikaniji wa damu na pia lazima kutakuwa na umati wa watu tofauti na ajali nyingine,umati mkubwa wa watu kukusanyika katika ajali huwapa nguvu Wajenzi Huru hao. Basi ni vyema kuwaepusha uwapendao kwa kuwahabarisha kwa ujumbe huu,okoa maisha yao dhidi ya sadaka ya Wajenzi Huru katika kipindi chao hiki. Tumuombe Mungu kupitia imani za dini zote ili kwenda kinyume na hizi nguvu za kibinadamu zisizo na mamlaka mbele za Mungu,Ameni.

TAHADHARI WASAIDIE UWAPENDAO KWA KUWAHABARISHA JUU YA HIZI NGUVU ZA GIZA. SITISHA SAFARI HADI HIZO SIKU ZITAKAPOKWISHA.
 
basi mwaka huu wamekusanya kafara nyingi sana.....ila umejuaje mkuu?? au nawewe ni member
 
bloodthanks to the mother ear. th days / remember one creature die to nourish others /
 
Mleta mada ikiwa hii habari ni kweli basi utakuwa umechelewa mno kutoa taarifa hadi ndugu wengi washatutoka tungewapa tahadhari mapema.
 
Mbona mwaka jana na juzi hakukua na ajali nyingi kama hivi? Can you tell Tz hakukua na mansons?

Jee manson hao wapo Tz tu?

Naomba majibu.
 
Peleka upuuuzi wako huko... Kama ni kafara basi watu wanaogopa kung'oka mwaka huu, otherwise hii ni usimamizi mbovu wa serikali ya CCM ktk sekta ya usafirishaji na uzembe wa madereva!!
 
Mleta mada ikiwa hii habari ni kweli basi utakuwa umechelewa mno kutoa taarifa hadi ndugu wengi washatutoka tungewapa tahadhari mapema.

Mkuu ingekuja kwa njia nyingne unakumbuka
*mafuriko dar mvua ya siku moja maafa yake uliyaonaje?
*mabomu gongo la mboto etc

umiza akili hapo! wajinga walikuwa wanafanya yao
 
Nitasafiri tarehe 21 na kuendelea maana hakuna namna nyingine sasa.
 
Tutasafiri tu,nasafiri tarehe 19 nione kama nitafishwa na hao jamaa
 
Kwani damu ina nini hadi Itafutwe hivi?si wakanunue tu kwenye bank za damu??



Pia wanaweza kuchukua hata za Ng'ombe, Mbuzi na zingine kwani razima waue watu? na hata wakiomba wanaweza kuwapa kiasi na wao wakaendelea kuishi
 
Pia wanaweza kuchukua hata za Ng'ombe, Mbuzi na zingine kwani razima waue watu? na hata wakiomba wanaweza kuwapa kiasi na wao wakaendelea kuishi

Kwenye mila na desturi huko na matambiko ndo wanatumia damu hizo za wanyama.

Lkn Freemason wanatumia damu za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…