Freemasons mbona mmetuletea Elon Musk?

Freemasons mbona mmetuletea Elon Musk?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Freemasons tafadhalini muondoeni Elon Musk kwenye hiyo nafasi na hata kumi bora hasiwepo.

Yani mmetuletea mtu wa ajabu sana. Yani bora nyakati zile mlituwekea kina Bill Gates na Warren buffet.

Bill Gates alikuwa mtu poa sana hata Africa alikuwa anakuja na kula ubwabwa maharage na madogo vijijini.

Freemasons next time fanyeni vetting ya uhakika kwenye mchakato wa kumuweka mwengine.

N de A
 
Akili za waafrika na freemasons bwana ni sawa na watanzania na lbl.
 
Freemason sio vigagula, wafanya ndaghu, waganga wa kienyeji, wanga, wachawi na washirikina, naona huwajui vema
 
Mzuka wanajamvi!

Freemasons tafadhalini muondoeni Elon Musk kwenye hiyo nafasi na hata kumi bora hasiwepo.

Yani mmetuletea mtu wa ajabu sana. Yani bora nyakati zile mlituwekea kina Bill Gates na Warren buffet.

Bill Gates alikuwa mtu poa sana hata Africa alikuwa anakuja na kula ubwabwa maharage na madogo vijijini.

Freemasons next time fanyeni vetting ya uhakika kwenye mchakato wa kumuweka mwengine.

N de A
UNAMJUA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE WEWE🙄
 
Mzuka wanajamvi!

Freemasons tafadhalini muondoeni Elon Musk kwenye hiyo nafasi na hata kumi bora hasiwepo.

Yani mmetuletea mtu wa ajabu sana. Yani bora nyakati zile mlituwekea kina Bill Gates na Warren buffet.

Bill Gates alikuwa mtu poa sana hata Africa alikuwa anakuja na kula ubwabwa maharage na madogo vijijini.

Freemasons next time fanyeni vetting ya uhakika kwenye mchakato wa kumuweka mwengine.

N de A
Tutakuweka wewe upo tayari?!
 
Naona mwamba umerudi kwa kishindo na za ndaaani!
 
Kama wao ndio wanaweka basi wa mchague hata Mondi maana alisha tangaza nia mapema ya kuwa tajiri namba moja duniani
 
Back
Top Bottom