FREEWAY & LOON in Saudi Arabia

FREEWAY & LOON in Saudi Arabia

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=h8QT_V5YBnI&feature=player_embedded[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=0RkjhuCKBt4&feature=player_embedded[/ame]

btw

Iddi Ijumaa
 
It's a good thing, but they should get ready to have FBI on their a@@. Majority of these rappers are muslims anyway, they just conceal their beliefs to sell records halafu ndiyo wanajitokeza. Snoop si juzijuzi amejiunga na Nation of Islam?
 
Kawaida yao hawa wakishaanza kuishiwa hela.
 
Bad Boys Entertinment wote wanaishia pabaya kasoro Sean John peke (PDiddy) yake na kubwa jinga likaishia kulambwa Risasi.

Hata Marlon JJ na yeye aliishiwa akawa Muislaam. Sijui sasa hivi mahela ya MJJ kama ataendelea kuwa Mvaa kanzu.

Hata Obama aligusia hili kuwa watu wakiishiwa wanakimbilia dini na Guns.
 
Hawa nao wamesilim ama ni kanzu na masharubu tu?Maana waislam wenyewe wanakwambia Isilam siyo shuka wala kanzu na kilemba,swala tano wanasali hawa?btw juzi hata Jermaine Jackson alipokea tuzo ya American Music Awards kwa niaba ya the late wacko,akiwa na watoto wa Wacko wenye kudaiwa kuwa pia ni wa kwake kwani ndiye aliechangia mbegu,hata hivyo nilimsikia akimalizia kwa kusema "I wanna thank Allah"
Ni kweli wengi wanakimbilia dini ya kiislam lakini mara nyingi inakuwa ni bada ya kuhisi wamebaguliwa ama wanabaguliwa na hivyo kupelekea mapato yao kushuka,hata mara nyingi wengi wao hu convert wakiwa jela.
 
Na bado Kama kuishiwa ndio Kuconvert Wataishiwa Saaaana
 
Lakini hawa jamaa wawili siku zote wamekuwa waislamu, kama walivyo Swizz Beatz, Puffy, Akon, Busta Rhymes, probably Nas....Jay-Z mwenyewe si alipewa jina la Muhammad alipokuja Bongo, kwa hiyo na yeye ni matter of time kabla haja'convert'. Hii 'beef' yake na 50 inakuwa staged ili kumzalisha upya, if u know what I mean.
 
MashAllah safi sana may Allah guide brothers in right path
 
Loon alipo kuja Bongo ,nilimsikia akisema yeye hajajua ni dini gani maana yupo yupo tuu ila baadhi ya ndugu zake ni waislamu, hapo ina wezekana kavutwa na ndugu zake , hao wengine wanasaka bingo tuu.za waarabu.

Kila rapper utakuta ana rafiki ambaye ni rich Prince huko uarabuni so wakianza kuchacha tuu wanaishia kua waislamu , sababu wanajua hela ipo ya kumsaidia ,mfano Michael jackson, alipo chacha akakimbilia uarabuni kwa rich prince , ambaye baadae mambo yakawa mabaya .

Black people ni rahisi kushawishika haswa kwa imani yao kua wana baguliwa wakionyeshwa upendo kidogo na hela teari wana convert .
 
Lakini hawa jamaa wawili siku zote wamekuwa waislamu, kama walivyo Swizz Beatz, Puffy, Akon, Busta Rhymes, probably Nas....Jay-Z mwenyewe si alipewa jina la Muhammad alipokuja Bongo, kwa hiyo na yeye ni matter of time kabla haja'convert'. Hii 'beef' yake na 50 inakuwa staged ili kumzalisha upya, if u know what I mean.

Kumzalisha upya nani 50 Cents au Jay Z?
 
Kumzalisha upya nani 50 Cents au Jay Z?

Kiufupi kwa mtazamo wangu (nikipata muda nitafanya utabiri wangu kwa mapana) hii battle, kama kweli itatokea back and forth katika records itambadilisha Jay-Z, muziki wake utachange, ataanza kuwa na message kwenye muziki wake. Jay-Z siku za nyuma amekuwa anarusha a line here and there kuhusu politics, social issues lakini hii battle ikiisha utamuona a new Jay-Z anatokea taratibu. 50 kwa upande wake officially atainyaka New York. Kama kwenye discussion nyingine nilivyotoka kusema, 50 anaweza kupull his first real classic out of this.
 
Philly wamejaa kibao hawa, hata ukiwauliza kibra upande gani hawajui.
 
No insult to Islam but many black Americans believe that Islam is the black man's religion. So I have known some who convert simply because they think they are going back to their roots and as others have mentioned when they feel it's "them against us".
 
There many reasons to join the right path, yes some might be historical reasons but also reading the quran/teachings might be the reasons
 
There many reasons to join the right path, yes some might be historical reasons but also reading the quran/teachings might be the reasons

Well that being the right path is debatable but I agree there could be many reasons. I know a lot of African American Muslims and I am telling you the majority consensus but which is not to be taken as the only consensus. Read about Nation of Islam and try to find some African American Muslims so you can understand what I'm talking about. I'm not just taking this from the top of my head.
 
Back
Top Bottom