Freezer inauzwa

Freezer inauzwa

Wanjiro

Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
51
Reaction score
109
Freezer ya kisasa imetumika mwezi mmoja tu inauzwa UBUNGO Kibangu Dar es Salaam, ina teknolojia ya fast freezing, unaweza kugandisha au kutumia kawaida kama friji, ni size ya kati ina uwezo wa kubeba ndoo kubwa za lita 20 mbili, ndoo za lita 10 mbili na vidumu vya lita 5 viwili, dukani ikiwa mpya inauzwa Sh. 550000, hii inauzwa kwa Sh. 385000 imetumika mwezi mmoja tu.Inafaa kwa matumizi yote Nyumbani na Biashara Wasiliana nami kwa 0763228776.
IMG_20180620_201406.jpg
IMG_20180620_201406.jpgIMG_20180620_201406.jpg
IMG_20180620_201122.jpg
IMG_20180620_201406.jpgIMG_20180620_201122.jpg
IMG_20180620_201524.jpg
 
Last edited:
tangazo lako linajieleza vizuri, tushindwe sisi tu, anyway kwa nn unaliuza!
 
Back
Top Bottom