Freezer Truck

Freezer Truck

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
218
Reaction score
318
Habari za majukumu wanajukwaa.
Kuna hizi gari ambazo zinakuwa na freezer/jokofu kwa nyuma zinaitwa Freezer Truck/van , nimeangalia katika mitandao ya wauzaji wa magari na kukuta aina nyingi za vyombo hivi na bei zake, pamoja na kuona yote hayo bado nimepata wasiwasi mwingi juu ya yafuatayo:-
1. Uimara wa hizo freezer
2. Namna zinavyo fanya kazi yaani zinatumia umeme kutoka wapi? generator au kuna mfumo maalum?
3. Je, Ubaridi unakaa kwa muda gani/ mzigo unayeyuka haraka?
4. Ikitokea kuharibika kwa freezer kuna vipuli/spea za kutengeneza na wataalamu wapo hapa tz?
5. Nini ni matatizo ya kawaida/udhaifu wa freezer hizo?
6. Freezer zinaweza kuhimili kubeba mzigo kama mananasi bila kuharibika kwa safari ya kwenda nchi jirani au mbali zaidi?

Naomba kwa yeyote anayejua lolote juu ya Freezer hizi anisaidie. Pia kama kuna sehemu au makampuni napoweza kupata gari hizi hapa Tanzania ningependa kujua.
Freezer Truck.jpg


Muwe na wikiendi njema.
Karibuni mnisaidie.
 
mkuu naona watu waligoma kutoa majibu hapa,,mm binafsi najua kuhusu zile contena zenye friza na zile huwa inashushwa sehem na kuchomekwa kwenye umeme ili kuchajiwa na hata zikipakiwa kweny meli huwa zinachomekwa kwny umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora afanye search Google tu, pia unaweza agiza freezer toka china kupitia alibaba ukaja kuipachika kirikuu, canter au fuso yako kwa urahisi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom