Zachaja hatimae inspection ya pili imekamilika wanasema honi ilikuwa haipigi na airbag light...wanasema Morning Hornet ndio meli itakayokuja, inafika lini hiyo meli bossNi kweli kabisa mkuu. Kimsingi kwa sheria ya nchi yetu ya viwango, inataka kabla gari halijasafirishwa kutoka (pre-shipment) Japan linapaswa kukaguliwa na mawakala wa TBS walioko Japan na pindi linapokizi viwango vya ubora vya nchi yetu hupewa cheti cha ukaguzi (Motor vehicle Inspection Report) hivyo kua tayari kwa kusafirishwa kuja nchini. Pia pindi linapo feli ukaguzi hurudishwa ili likafanyiwe marekebisho yaliyoainishwa. Utaratibu huu ni mzuri sana maana hutusaidia kupata magari mtumba yenye ubora. Kwa hiyo mkuu vuta subira mpaka hiyo tarehe ili upate lenye viwango. Nime-attach mfano wa Motor vehicle Inspection Report.
Mkuu Morning Cornet itaondoka Japan tarehe 29 September 2018 na inategemea kuwasili bandari ya Dar es Salaam tarehe 24 Octrober, 2018.Zachaja hatimae inspection ya pili imekamilika wanasema honi ilikuwa haipigi na airbag light...wanasema Morning Hornet ndio meli itakayokuja, inafika lini hiyo meli boss
Basi wacha nivute subra maana sijawahi nunua mashine huko ikachelewa kama ilivyo sasa, thanks bossMkuu Morning Cornet itaondoka Japan tarehe 29 September 2018 na inategemea kuwasili bandari ya Dar es Salaam tarehe 24 Octrober, 2018.
Badala ya kuingiza machine na mitambo ya Viwanda wanatulete magari
Ahsante kwa taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa wewe usidandie train kwa mbeleYaani huoni aibu kabisaaa kua fika haya kwa wivu.. si ununue mitambo hiyo kama kununua gari umeshindwa..🤣🤣🤣
Gari za kwanza hua zinatesa sana mambo mengi unkua hujui. Naona umeshaanza kuonja joto ya jiweOh asante mkuu eneo hilo umenitoa ujinga nilidhani ndio jina la meli.[emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga ujinga tuNataka niagize music system ni vitu gani napaswa kuwa navyo
😀😀 wewe Jimbi weweee....mwenzako ndio anataka music system...Ujinga ujinga tu
Tofauti ya agency fee ime base kwenye container deposit, 20ft tuna deposit $500 mpaka $700 na 40ft $1,000 mpaka $1,500 hapa inategemea na wakala wa meli (local shipping line agent).Container la 20ft na 40 ft yanakuwa na paperwork tofauti? Nijulishe bei ume base kwenye nini hapo? Nitawatafuta muda ukifika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya agency fee ime base kwenye container deposit, 20ft tuna deposit $500 mpaka $700 na 40ft $1,000 mpaka $1,500 hapa inategemea na wakala wa meli (local shipping line agent).
Laki 2 sio bei ya kununua gari, unapoagiza gari hua kunakua na gharama zifuatazo,kiongozi tufafanulie kidogo hiyo laki mbili kivp?maana kuna siku niliona gari flasn used japan bei ilikuwa kama $500 nilipoeasiliana na kampuni moja hivi inayofanya hayo mambo wakaniambia total ya gharama ni m 8.naomba ufafanuzi zaidi.