House4Rent Frem Kariakoo, mtaa wa Masasi na Msimbazi

TheGodfather95

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,763
Reaction score
1,830
Habari wakuu kuna Frem za biashara mtaa wa Masasi na Msimbazi jengo jipya zinapangishwa.
Gharama za frem ni Milioni 9 kwa mwaka pamoja na 500,000 ya udalali.

Frem hizi zinafaa kwa mtu mwenye biashara ya simu au vifaa vya simu na ufundi.

Ukihitaji kuona Frem wasiliana na mimi kupitia 0714036595 WhatsApp au Call za kawaida.

Karibuni[emoji1666][emoji1666]
 
JamiiForums ina watu wajuaji sana ila ndio mitandao.
Frem bado zipo mwenye kuhitaji tuwasiliane 0714036595
 
Hizo frem ni 450,000 na nusu kwa mwezi, unalipia miezi 6 na hakuna udalali wala kilemba.
Mngeenda shule mjifunze “real estate” business msingekua mnahangaika na hela za mwezi
Hujamsaidia yeye wala members wa Jf wala wale wanaotembelea jf bila kuwa na akaunti.

Mpe muongozo kuwa ni hivi hivi na hivi, au lah muelekeze shule inayofundisha real estate business.
 
Ukiona frem kariakoo hadi inakamilika hakuna wapangaji ujue hapo ni kibao cha mail yaani hakuna biashara,sehemu za biashara kariakoo hata jengo likivunjwa watu washalipia kodi kabisa wanasubiri liishe tu wahamie tena huwezi kupata bila kilemba kuanzia milioni 5,10 hadi 15m
 
Ongea na watu vizuri usikariri....
 
Hizo frem ni 450,000 na nusu kwa mwezi, unalipia miezi 6 na hakuna udalali wala kilemba.
Mngeenda shule mjifunze “real estate” business msingekua mnahangaika na hela za mwezi
Kwahiyo ukienda shule hauwezi kuwa dalali wa kuhangaikia hela ya mwezi?,kwakweli tuna safari ndefu kama aina yenyewe ya wasomi ndio kama hii yako
 
Hujamsaidia yeye wala members wa Jf wala wale wanaotembelea jf bila kuwa na akaunti.

Mpe muongozo kuwa ni hivi hivi na hivi, au lah muelekeze shule inayofundisha real estate business.
Kwakweli nimeshangaa sana aina hii ya wasomi tulionao
 
Back
Top Bottom