TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
Anakula faida zaidi ya mwenye fremUnachukua laki tano ya udalali, halafu fremu ya milioni 7 kwa mwaka unaniambia milioni 9 na mhusika unionyeshi.
Madalali mnakera sana
Sawa mkuuHizo frem ni 450,000 na nusu kwa mwezi, unalipia miezi 6 na hakuna udalali wala kilemba.
Mngeenda shule mjifunze “real estate” business msingekua mnahangaika na hela za mwezi
Kibiashara kupojeHahah Kwa Mama Kitenge [emoji16]
Biashara gani inazaa hela hiyo, TRA, kodi za Jiji etc etc etc etc...... kazi ipo.......Milioni 9 kwa mwaka pamoja na 500,000
Kibiashara kupoje
Hujamsaidia yeye wala members wa Jf wala wale wanaotembelea jf bila kuwa na akaunti.Hizo frem ni 450,000 na nusu kwa mwezi, unalipia miezi 6 na hakuna udalali wala kilemba.
Mngeenda shule mjifunze “real estate” business msingekua mnahangaika na hela za mwezi
Pangekuwa vizuri wala usingekuja kutangaza humuPako vizuri sana mkuu karibu 0714036595
Kwahiyo wewe unataka watu wasiojielewa aka mabwegeJamiiForums ina watu wajuaji sana ila ndio mitandao.
Frem bado zipo mwenye kuhitaji tuwasiliane 0714036595
Kwahiyo aseme pako vibaya?
Ukiona frem kariakoo hadi inakamilika hakuna wapangaji ujue hapo ni kibao cha mail yaani hakuna biashara,sehemu za biashara kariakoo hata jengo likivunjwa watu washalipia kodi kabisa wanasubiri liishe tu wahamie tena huwezi kupata bila kilemba kuanzia milioni 5,10 hadi 15m
Kwahiyo ukienda shule hauwezi kuwa dalali wa kuhangaikia hela ya mwezi?,kwakweli tuna safari ndefu kama aina yenyewe ya wasomi ndio kama hii yakoHizo frem ni 450,000 na nusu kwa mwezi, unalipia miezi 6 na hakuna udalali wala kilemba.
Mngeenda shule mjifunze “real estate” business msingekua mnahangaika na hela za mwezi
Kwakweli nimeshangaa sana aina hii ya wasomi tulionaoHujamsaidia yeye wala members wa Jf wala wale wanaotembelea jf bila kuwa na akaunti.
Mpe muongozo kuwa ni hivi hivi na hivi, au lah muelekeze shule inayofundisha real estate business.