Lasthope Senior Member Joined Jun 5, 2008 Posts 149 Reaction score 6 Aug 7, 2008 #1 Nataka nijiunge na jukwaa la wajasiriamali jamani ili nijikwamue na ugumu wa maisha bongo maana kila kitu kimepanda bei ila mishahara iko palepale. Jamani anayejua napoweza kupata frem sehemu yenye watu wengi anitonye hapa ili niifukuzie. Thanks
Nataka nijiunge na jukwaa la wajasiriamali jamani ili nijikwamue na ugumu wa maisha bongo maana kila kitu kimepanda bei ila mishahara iko palepale. Jamani anayejua napoweza kupata frem sehemu yenye watu wengi anitonye hapa ili niifukuzie. Thanks