Fremu inakodishwa Mbezi Luguruni bila dalali

Fremu inakodishwa Mbezi Luguruni bila dalali

MrsPablo1

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
1,073
Reaction score
1,941
Fremu inakodishwa Mbezi mwisho kutoka stand ya Magufuli, Mbezi high school. Ni Km. 1.5 kwa njia ya Mpiji na kutokea Luguruni ni Km. 1.

Fremu ina ukubwa wa Sqm. 115 ndani, inafaa kwa ofisi/biashara yoyote mfano; medical laboratory, dispensary, pharamacy, micro finance, hardware, saloon, QT n.k.

Price inaanzia 400k, maelewano yapo.

Kama kuna mtu atahitaji 0785335350.
4FF74B85-5F32-4068-A693-439673B5CADF.jpeg
F1B93ECE-C318-4A3E-91A6-0A2C8808B389.jpeg
 
Hii Fremu iko wazi muda mrefu sana? 400k/115 inamaana unakodisha kwa shilingi 3000 kwa sqm au sawa na shilingi 13000 kwa siku.Usijali watakuja wahitaji.Kama wakichelewa Nicheck inbox nikushauri kitu.
 
Hii Fremu iko wazi muda mrefu sana? 400k/115 inamaana unakodisha kwa shilingi 3000 kwa sqm au sawa na shilingi 13000 kwa siku.Usijali watakuja wahitaji.Kama wakichelewa Nicheck inbox nikushauri kitu.
Mimi namshauri hapa hapa:
Kama analo salio atengeneza au aweke vyumba vidogo vidogo kwa ndani na kuvipangisha kwa watu wengi zaidi kwa bei isiyoumiza..hii pia inaweza kufanyika na mtu atakaepangishiwa hiyo frem.
Ahsante
 
Asante kwa ushauri.
Nilifikiria kufanya studio apartment kwa ajili ya Airbnb lakini salio bado haliruhusu
 
Asante kwa ushauri.
Nilifikiria kufanya studio apartment kwa ajili ya Airbnb lakini salio bado haliruhusu
Mkuu usikate tamaa..hiyo ni assert siku isiyokuwa na jina utafanikiwa..suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom