Mimi namshauri hapa hapa:Hii Fremu iko wazi muda mrefu sana? 400k/115 inamaana unakodisha kwa shilingi 3000 kwa sqm au sawa na shilingi 13000 kwa siku.Usijali watakuja wahitaji.Kama wakichelewa Nicheck inbox nikushauri kitu.
Asante kwa ushauri.Mimi namshauri hapa hapa:
Kama analo salio atengeneza au aweke vyumba vidogo vidogo kwa ndani na kuvipangisha kwa watu wengi zaidi kwa bei isiyoumiza..hii pia inaweza kufanyika na mtu atakaepangishiwa hiyo frem.
Ahsante
Mkuu usikate tamaa..hiyo ni assert siku isiyokuwa na jina utafanikiwa..suala la muda tu.Asante kwa ushauri.
Nilifikiria kufanya studio apartment kwa ajili ya Airbnb lakini salio bado haliruhusu