Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
DuhFremu ipo mita 30 kutoka barabara ya lami ya shekilango road, nyuma ya rombo green view hotel mkabala na legho hotel.
Kodi ya miezi 3/6/12 ndo inayopokelewa.
Karibu kwa mawasiliano
0672037238
View attachment 2068005
hahahahaha450k kwa biashara gani? Labda watafute vijana wangada waweke duka la nguo kuzugia.
Mkuu ndio hivyo maduka mengi ya nguo kichaka cha kutakatisha pesa za ngada.. utaona hamna mauzo nanfrmu juu lkn mtu anasaivu tu.hahahahaha
Wewe unazani hiyo bei utahimili? Kwa business gani?Kashangae Ferry meli inaelea shilingi inazama
[emoji849][emoji849]
Hivi kkoo fremu shingapMkuu ndio hivyo maduka mengi ya nguo kichaka cha kutakatisha pesa za ngada.. utaona hamna mauzo nanfrmu juu lkn mtu anasaivu tu.
Hatari Sana hii nchi yaan mshahara wa mwalimu wa digrii ndio Kodi ya kibanda ..hapo kwa biashara gani450k kwa biashara gani? Labda watafute vijana wangada waweke duka la nguo kuzugia.