Fremu inapangishwa Gongo la Mboto, haina udalali

Leviz

Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
61
Reaction score
85
Habarini Wana JF nmeamua kuwaletea Fursa ya fremu ya Barabarani ambayo Haina udalali Wala nini unawapigia Moja kwa Moja wahusika.

Fremu iyo Kodi kwa mwezi ni laki 5
-Ipo G/mboto kabisa Karibu na barabara ya kuelekea mjini pia Ina mazingira mazuri
-Ipo juu ghorofa ya kwanza ni kubwa na nzuri

Mawasiliano: piga 0715610785
0715747915

 

Attachments

  • 1000548252.jpg
    635.5 KB · Views: 3
  • 1000551883.jpg
    374.7 KB · Views: 3
Hapo ni pale ulipokuwa mgahawa wa Azure !?
Ni pazuri na bei ni rafiki
 
Hapa palikuwa na mgahawa mzuri hiv sijui kwa nini mwenyewe alifunga ile biashara.Sasa kwa hapa barabara ikikamilika pata panda bei zaidi sababu pako location nzuri sana na pana watu wengi sana.hapo panamfaa sana mpemba na zile biashara zao za vyakula
 
Anapokea kodi kuanzia miezi mingapi mkuu?
 
Frem za hapo sasa hivi ni changamoto ya barabara. Hata baada ya kukamilika biashara zitashuka kwa sababu sehemu za parking zimechukuliwa na barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…