Habari wadau,kama kuna anayefahamu fremu nzuri ambayo unaweza kuweka duka la rejareja ,nafaka pamoja na bidhaa zingine ndogo tuwasiliane kwa bei ya 60-80 kwa mwezi iwe eneo karibu na makazi ya watu au sehemu wanapopita watu kiufupi location iwe inaridhisha kwa business