Fremu ya biashara inahitajika

Fremu ya biashara inahitajika

blackbobu

Member
Joined
Feb 12, 2021
Posts
28
Reaction score
35
Mambo vipi wanaJF

Mimi nahitaji fremu ya biashara ya kuweka Tigo pesa Mpesa na Airtel money, maeneo ni kuanzia Tabata Barracuda, Sanene, Tabata shule, hadi Segerea au Ubungo Riverside au Tabata Mawenzi, , bajeti yangu ni 100,000 kushuka chini yaani isizidi laki moja, kwa hiyo kama kuna mwenye nayo anipigie kwa 0782585625, uchochoroni sana hapana.
 
Back
Top Bottom