Fremu ya Biashara inakodishwa Kigamboni kwa Urasa karibu na CCM

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,973
Reaction score
6,750
Habari za wakati

Fremu inakodishwa kwa gharma ya TZS 70,000 tu kwa mwezi
IPO Kigamboni kwa URASA karibuni na Kituo Cha Polisi Kigamboni na Mahakama ya wilaya ya Kigamboni

Ni kubwa na imefanyiwa partition ya Ceiling Board.Imeunganishwa na Line ya TTCL(Utalipia Kidogo)
Kwa anayehitaji tuwasiliane PM
 
Hapo jirani ndio nuksi
 
Bora ingekua mbali na hayo MAJAMBAZI
 
hayo majambarika karibu hupati mtu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…