Habari zenu wachumi
Naomba kujulishwa juu ya fremu za biashara zilizokomaeneo mazuri kwa kiasi au standard kwa lugha nyingine kwa ajili ya kuweka ofisi ya stationary na graphics.
Je kwa kodi ya 150,000 kwa mwezi kwa hayo maeneo niliyoyataja na yale jirani na hayo inawezekana?
Ahsanteni sana juu ya hili