fremu ya kupangisha inahitajika

fremu ya kupangisha inahitajika

chipegwa

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
8
Reaction score
1
habari zenu wana jf, mimi ni kijana nimeamua kujiajiri natafuta fremu ya kuanzisha stationary iwe maeneo karibu na chuo chochote- dar. naombeni msaada wenu, asanteni.
 
habari zenu wana jf, mimi ni kijana nimeamua kujiajiri natafuta fremu ya kuanzisha stationary iwe maeneo karibu na chuo chochote- dar. naombeni msaada wenu, asanteni.

Did you mean stationery?
 
Nadhani ujumbe wake upo clear, hivyo ni vijimambo tu jamani
 
Back
Top Bottom