habari zenu wana jf, mimi ni kijana nimeamua kujiajiri natafuta fremu ya kuanzisha stationary iwe maeneo karibu na chuo chochote- dar. naombeni msaada wenu, asanteni.