French firm Groupe ADP wins JKIA terminal deal

Tunazungumzia article hii iliyotaja "recent capacity is 6M", alimaanisha uwanja upi?, acha kutujazia server
 
kazi ya ku cherry-pick parts of a sentence bila kusoma the whole thing alafu una conclude uiache!
hebu tueleze hio sentence iko tense gani basi mwalimu
Nilikuuliza hapo juu, mimi sijui kiingereza zaidi yako, tafadhali nifunze kidogo kizungu, hiyo sentensi ni muda uliopita, au muda uliopo endelevu?
 
Wakati Nyie mnahangaika kutafuta design yenu ..cc JNIA terminal 3 inafanyiwa finishing ina capacity ya 7 mil passengers ..itafanya JNIA iwe na Total Capacity ya 10mil passengers kwa Mwaka ..uki combine T1 na T2
 
kwanza hata nashangaa kinachowapa wabongo ujasiri wa kuzungumza hapa...kwa maneno ya aviation, hata madagascar na togo afadhali...Kenya is competing with top aviation countries in Africa like SA and ethiopia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…