Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Ndio maana vyombo vya habari vya Ungereza vinamwagia petroli kwene hii songombingo. Ingekuwa timu yao inafanya vizuri walahi tusingelala.na hata hiyo kuingia yenyewe walibebwa, si unakumbuka lile goli (henry's hand ball) lililowaingiza, against ROI ? acha wafungishwe virago tu.
Hizo timu zinazokuwa inspired wachezaji wake ni wagumu, si unaona timu za watoto wa mama zinavyochanganyikiwa!.teh teh the..sasa mboni timu nyingine vuvuzela zinawa-inspire?lol
Ndio maana vyombo vya habari vya Ungereza vinamwagia petroli kwene hii songombingo. Ingekuwa timu yao inafanya vizuri walahi tusingelala.
Waingereza walikosea kumpa timu Capelo. Wangempa Big Phil saa hivi wangekuwa washaqualify. Capello sidhani kama anahistoria yoyote kwene level ya timu za taifa.Hizo timu zinazokuwa inspired wachezaji wake ni wagumu, si unaona timu za watoto wa mama zinavyochanganyikiwa!.
Wakiwa kwene pressure mambo yanaeza kuwa mabaya zaidi. Ngojea tuone itavokuwa.ha ha ha kabisa mkuu, wamepata excuse ya kusema, eti hili kombe la mara hii mataifa makubwa ya soka yanastruggle ( na wao wanaji inculde kwenye mataifa makubwa). hehehehehe nitafurahi sana kama watabanwa na mslovenia halafu walembewe ufukweni, warudi kwao wakalitetee shirika la BP na umwagikaji wa mafuta ghuba ya mexico.
kwa style hii............
ZIDANE anaendelea kupata bichwa,maanake dah.....!kuna siku alimsaga sana kocha
ha ha ha ha!
hapo ufaransa hapo.........!
naona mzimu wa SAMIR NASRI unafanya kazi sasa