Alpha Homes kampuni inayojiusisha na property management, renovation, maintanance na landscaping yenye makazi yake mkoa wa Dar es salaam inaitaji Building/civil technician pamoja na qualifications za elimu yake, anatakiwa awe mwenye sifa zifuatazo:
- Aliemaliza chuo au uzoefu wa mpaka mwaka mmoja
- Alie tayari kujifunza kwenye kazi huku akitumia maarifa yake kuifanya kzi yake kwa ufasaha
- Uwezo wa kusimamia mafundi vizurina kumaliza kazi kwa muda
- Awe mkazi wa Dar es Salaam
- Knowledge ya AUTOCAD itakuwa bonus.