Fresh juicy with bits and without bits

Fresh juicy with bits and without bits

Njaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2009
Posts
1,022
Reaction score
412
Hello wanajamvi, google search imeshindwa kunipa jibu ya hii kitu. Nimeanda supermarket leo nimekutana juice ya chungwa ambayo zingine zimeandikwa ''WITH JUICY BITS'' na zingine zimeandikwa ''WITHOUT JUICY BITS'' zote ni note from concentrate and pure (100% orange juice). Naomba kujulishwa hizo juicy bits ni nini?
 
wakuu...!

Hakuna mwenye kujua hilo???
 
Nadhani ni zile nyama za machungwa zinazobakia baada ya kunywa juice ya chungwa so with bits ni yenye hiyo kitu without ni ambayo imechujwa na kuondolewa hizo nyama,
 
Back
Top Bottom