wakuu heshima yenu....napenda kujuzwa kama kuna ugonjwa wowote unaotokana na unywaji wa maziwa fresh ua ngombe haswa ngombe wa kienyeji...nimekuwa ba utaratibu wa kunywa c chini ya lita moja ya maziwa fresh ya ngombe wa kienyeji niliyochemsha kila siku...nawasilisha.