Fresher kuweni macho na kondakta wa basi lililotoka Karagwe kwenda Mwanza leo Novemba 03.

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Kwa huduma, mbovu, masimango, dharau, kejeli, kebehi, nk za huyo konda wenu wa leo, atashusha heshima ya kampuni yenu na.kuwaharibia biashara.
Wekeni mfuatiliaji mtaelewa ninalomaanisha.
Kampuni tunaihemu, Wafanyakazi wenu waheshimu wateja wenu.
 
Kwa huduma, mbovu, masimango, dharau, kejeli, kebehi, nk za huyo konda wenu wa leo, atashusha heshima ya kampuni yenu na.kuwaharibia biashara.
Hiyo ni tabia ya kawaida kabisa ya mtu mwenye uhakika wa kulishwa na kulazwa kwa siku,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…