Friday Fun Fact

Yaani sijui kwanini dame ukishamkojolea tu unaanza kumuona utopolo na kuanza kufikiria wale ambao hawajakupa kitobo, imagine unafukuzia dame wiki2 au mwezi ukishamvua tu unamuona hana jipya
wao ndo wanafanya inakua hivo,
demu ambaye hujatumia nguvu kubwa kumpata huwa kila mda unatamani uwe nae, ila hawa wengine wanajiita wawekezaji utawekeza, ukishamla hana maajabu tena
 
Kwenye maisha hasa ya mahusiano hakuna demu mkali, na ukiona demu ni mkali ujue sio wako.

Pia hakuna asiye mwongo we chagua mtu ambaye utavumilia uongo wake.

Kwaheri.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanawake wazuri wapo na huwa mnawapata sema tamaa zenu za kutokuridhika ndizo zinazowafanya waondoke kwenye maisha yenu.Wacheni tuondoke ili tupate wale watakaojua na kuona mchango wetu na thamani yetu.Mapenzi ya sasa hivi ukiona sehemu hupendeki unaondoka tu.
 
We kama umempenda demu , tongoza akikubali tambaa naye akikushinda kaa pembeni, jitahd upate hitaji la moyo wako , hata Simba hula majani pale tuu anapokosa nyama kabisa tatizo vijana mnakuwa na toomuch attention, mnaogopeshana kwenye hamna
 
samahani naweza kuku pm
 
Huko si ndio inanyesha na wingu 24hrs mkuu, haya tafuta mshangazi wa kinyantuzu/kisukuma, na vile yalivyojazia...[emoji16]
Aiseee, haya majituuu yana mizigooo ila sura za baba na babuu zao… sema nawakega tu sura ya Alayna maisha yanasonga πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…