Friday Nairobi wapi kuna waka?

Friday Nairobi wapi kuna waka?

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Habari wana jamvi!!

Hivi kwa friday hapa Nairobi wapi kuna pendeza na haya maua yetu (watoii) ukiacha pale Choices, tmall, au millionea??
Nipeni direction wadau...
 
Rafikis iko wapi hii mkuu?
Mi naona kama yupo centre pale basi F2 ni poa zaidi...

Ankal,

mwisho kuenda Nairobi ilikua lini mazee? F2 ilivunjwa kitambo sana...

flo1.jpg




flo3.jpg



End of an Era!! Florida Night Club Demolished (PHOTOS)
 
Ankal,

mwisho kuenda Nairobi ilikua lini mazee? F2 ilivunjwa kitambo sana...

Duuuh kweli nimepitwa na wakati mwisho kuzurura huko was 2010 ingawa nimekuwa nikija mara moja moja to see my baby girl. I dont club no more #oldAge #sad
 
Back
Top Bottom