kwahiyo kufakamia ubwabwa ndo kukosa selfcontrol huh?.na kukosa selfcontrol ndo uswahili..ok.
Umetumia kamusi gani au ni tafsiri zako binafsi.
necha anaitaji msaada wa haraka sana ananyausha kuliko maelezo,yani anatia huruma sana....umkute asubuhi kalewa umkute mchana jioni kalewa...mke kamshindwa mamake kamshindwa washikaji wamemshindwa,mziki umemshinda,ata kama ndio stress za maisha hii ni noma asubuhi anakunywa bia na vitumbua.. Wanasema kalogwa na kina fella.