Yaaani kiukweli mwanzoni hiki kipindi cha shilawadu kilikuwa kinaonekana ku take over vipindi vya burudani kiasi kwamba ikaonekana kwamba kipindi pinzani cha ijumaa Friday night live chaliii lakini kwa sasa Friday night live ni moto aisee creativity nzuri ya kuwakutanisha ma super star ambao wana bifu au waliopigana madongo lakini shilawadu ndo wamefika mwisho wa ubunifu wao wamebaki kupiga story tu studio