Friday night live kina amsha amsha shilawadu haina jipya

Hicho kipind sijawai kusikiliza watu washajiita wambea afu wanaume.........
 
Ujue clouds wanajitahidi sana kuwapiku eatv kwanza ukiangalia vipind vingi vya clouds wameiga eatv lakini kwenye creativities eatv wame simama vizuri sana sema nadhani eatv wana kasoro moja tu ya mshahara ila wapi vizuri mno
 
Ajabu ni kwamba watu uwa wanaponda almost kila kitu toka clouds lakini wanaongoza kujua vipindu na watangazaji na matukio yanayohusu clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…