Kesho mwisho wa dunia...
Kesho mwisho wa dunia...
its our my first anniversary and ni mwisho wa dunia? I will surely make the most of it.
thanks for the info.
Duh sasa inabidi ku-call in job na kuminya ndani siku mzima, maanake uwezi jua nini kitatokea huko mitaani....
...maazee, 'ndani' ndio ogopa kabisa!!! ...electrical sockets, ...any loose wires somewhere in case of being electrocuted?...
...watch out for that ceiling fan above your head, are you sure the electrician fixed the right screws?
...halafu wanasema earth platonic plates sometime zinasogea, ...in case of 7. Point magnitude of anything make sure you know the right exit/escape route!!!
Btw, most accidents happens within a miles from your house!!!
Dont Blink!!!, utauwawa buree...
Hii sasa ni kasheshe...
Lakini mimi bado naamini kuwa nyumbani ndio sehemu salama kuliko zote. Angalau home unaweza kujifisha chini ya kitanda, kwenye basement, na hata bafuni.
Huko nje hatari ndio maradufu zaidi. Unaweza kugongwa hata na baskeli, halafu ikawa balaa. Au uchelewi kukanyaga nyanya za watu kwa bahati mbaya, halafu ukagombaniwa kama mpira wa kona vile.
Hapana Aisee, nyumbani ndio salama
Friday 13th not more unlucky, study shows Thu Jun 12, 12:03 PM ETFriday the 13th is considered a day of bad luck in English-, French- and Portuguese-speaking countries around the world, as well as in Austria, Germany, Estonia, Finland, The Netherlands, Belgium, Republic of Ireland, Poland, Bulgaria, Denmark, Iceland, Sweden, Norway, Czech Republic, Slovakia, Slovenia, and even the Philippines .
A British Medical Journal study has shown that there is a significant increase in traffic-related accidents on Fridays the 13th.
Will you stay at home tomorrow?
Why Friday the 13th Is Unlucky.
.