Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafta friji ndogo kabida size ya mwisho used iwe katika hali nzuri, brand yeyote,mwenye nayo anichek,asante
Natafta friji ndogo kabida size ya mwisho used iwe katika hali nzuri, brand yeyote,mwenye nayo anichek,asante
Potabo friji..!Mkuu ndogo ya mwisho unaijua?
Maana zipo zinaingia chupa moja ya maji,je ndio hiyo?
Ipi kati ya hizi
View attachment 191433View attachment 191434View attachment 191435View attachment 191436View attachment 191437View attachment 191438
Angalia post ni ya mwaka ganiNipe namba Yako nipo Kigoma nahitaji
Hii unayo kaka?
Hii nikiiweka kwenye Corolla yangu nitakuwa nimeuwa tajiri wa Kijiji ,uko nazo mtanzania?
😂😂 Namaanisha minPotabo friji..!