100 itapendeza zaidiKwema wakuu,
Ninauza vitu vyangu vya ndani kama ifuatavyo:
Kabati la vyombo 4"kwa 5" mbao mninga 500,000tzs
Dining table na viti vyake 200,000tzs
Sofa la watu 5 L shape 500,000 tzs
Fridge 280,000tzs
Unaweza kulipa kwa awamu kama utachukua zaidi ya kitu kimoja.
Kwa maelewano na picha, ni pm.
Napatikana Mbezi, Dsm.
Friji bado lipo?.hii post sio ya kushawishi mtu yeyote,,ni kwa watu wenye uhitaji..
kama huna uhitaji pita kushoto..
Povu ruksa..
.hii post sio ya kushawishi mtu yeyote,,ni kwa watu wenye uhitaji..
kama huna uhitaji pita kushoto..
Povu ruksa..