INAUZWA Fridge Von linauzwa bei nafuu sana

INAUZWA Fridge Von linauzwa bei nafuu sana

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,636
Reaction score
2,053
Fridge Von lina mwaka mmoja tu

Bei Tshs 450,000/=
Lipo Gongo la mboto
Unauziwa hadi makopo
Juu linagandisha chini liaweka ubaridi
Huwa haliwashwi mara kwa mara.
0689 150 968
0625 557 395
 
Picha hizo hapo
20220610_091048.jpg

View attachment 2255997View attachment 2255998
 
Mzee ulihama nyumba nini? Maana ukihama na friji sijui kwa nini lazima mlango ubonyee...

Anyway ongeza picha za ndani
 
Mzee ulihama nyumba nini? Maana ukihama na friji sijui kwa nini lazima mlango ubonyee...

Anyway ongeza picha za ndani
Hapo palipo bonyea tangu linakuja kuna sehemu tuligongesha kidogo ndio maana... kuhusu picha kila nikipandisha zinakuja kama link yaani hata sielewi. Ila unaweza kuja watsapp nakupa picha chapu
 
Hapo palipo bonyea tangu linakuja kuna sehemu tuligongesha kidogo ndio maana... kuhusu picha kila nikipandisha zinakuja kama link yaani hata sielewi. Ila unaweza kuja watsapp nakupa picha chapu
Mimi sio muhitaji.

Ila nakushauri post picha moja moja yani kila picha na page yake.
Pia ondoa hizo karatasi kabsa zinaziba upya wa friji.
 
Back
Top Bottom