Kipigo ni kipigo tu Hususan hiki cha Mbwa mwizi..., hawa jamaa siwakubali kabisa hususan kila nikikumbuka alivyotukosesha kuingia nusu fainali kwa Gary Lineker ku dive na kupewa Penalty mara mbili walivyokutana na Indomitable lionsMechi za kirafiki hamna userious mwingi
Haahaaha sikutaka kutumia lugha ngumu,. Ila unafuu hua unakuepo. Mfano juzi kati ya kirafiki ilitoka 0-0 ila kwenye mtanange ikabutuliwa 1-0Unaweza kuleta hayo so called matokeo mazuri ya kwenye za Kirafiki ?!!!