kwa leo hizo zinatoshaaaaaaFT Simba 5 kwa 0,mashabiki wanalalama walitaka 7
Mgana achukue nafasi yao, huyu jamaa anatumia akili zaidi.Ingekuwa timu ya baba yangu,Luzio na Mavugo ningeshawafukuza
Lipuli fc 1 - 1 Yanga, goli la Yanga kama kawa la kupewa.Another Gulioni FC?
Hardrock or Soft rock?
Watakuwa wamepewa na Malinzi from mahabusu?Lipuli fc 1 - 1 Yanga, goli la Yanga kama kawa la kupewa.
Mlitoka ngapi na JKT Ruvu mechi za majaribio?Mlitoka ngapi na Lipuli FC?Another Gulioni FC?
Hardrock or Soft rock?
Uliona red kadi?yaani inakuwa kama Wanaume(Lipuli) anacheza na Wanawake(Yanga),ukimguza kifua tu refa anajua ulitaka kumshika chuchuLipuli fc 1 - 1 Yanga, goli la Yanga kama kawa la kupewa.
Hatununui friend mechi kuwa impress wanachama.Mlitoka ngapi na JKT Ruvu mechi za majaribio?Mlitoka ngapi na Lipuli FC?
[emoji3] [emoji1] [emoji1]Hii ni Simba au Brazil?hili dude alitakiwa aamshiwe Yanga,kama sio lile fuvu pale
Sasa hivi mnyama ni mwendo wa dozi nene, ulikatiza mbele jilaumu mwenyewe!Uliona red kadi?yaani inakuwa kama Wanaume(Lipuli) anacheza na Wanawake(Yanga),ukimguza kifua tu refa anajua ulitaka kumshika chuchu
Bado kuna vichembechembe vya malinzi, nakuhakikishia yanga wakianza kucheza bila kubebwa itakuwa ni timu ya kawaida sana.Watakuwa wamepewa na Malinzi from mahabusu?