Friends... I am happy its friday, nahalalisha leo

Usinisahau week end hii sina pa kwenda mpwa

shem unajua mpaka saa hii sijaielewa avatar yako....aniwei utanielewesha hapo baadae kwenye kuhalalisha ya acid
 
Usinisahau week end hii sina pa kwenda mpwa

kuanzia umeunganisha Dstv home kumekuwa na mabadiliko kweli, naona cku hizi hata siulizwi kama Malouda ana play au vipi...wakikukatia ucrudi kwangu.
 
kuanzia umeunganisha Dstv home kumekuwa na mabadiliko kweli, naona cku hizi hata siulizwi kama Malouda ana play au vipi...wakikukatia ucrudi kwangu.

wakwetu hivi ni nini lakini....kwa nini tupoteane kiasi hiki
 
wakwetu hivi ni nini lakini....kwa nini tupoteane kiasi hiki

wacha tu mamie, mafaranga dearest, unayasaka mpaka yanakupa wazimu...muda wakutembelea kjiwe una kuwa mdogo.......mhhh nitakuja huko mfululizo yaani nitakushtua usihofu.....kwema lakini?
 
Mkishamaliza kudiskasi, mumwambie babu lokesheni itakuwa wapi na saa ngapi.

Mi nataka vitendo zaidi ya maneno. Habarrrr senyu banaaaaaa!

Lazima MTU AHAMISHWE MEZA LEO!
 
Acid eeee, nibakizie red label kidogo basi!!!!
 
shem unajua mpaka saa hii sijaielewa avatar yako....aniwei utanielewesha hapo baadae kwenye kuhalalisha ya acid
kabinuka akuchungulie wewe
 
Jamani Lokesheni wapiiii?
naona teamo katoa ahadi halafu kaingia mitini

hebu mmoja apropozi mie niwashe tukutuku nije, nimeanza saa nyingi jamani ntachemsha
 
Acid eeee, nibakizie red label kidogo basi!!!!
halafu wewe!!! Nimekuja hadi Lahore na ukanikaukia wakati nilikuomba simu... shame on you
 
.....hapa wapi vile? loh miss sana wapwaaaaz.........! Fungus boy.....ile kitu red rebel......daaah menikumbusha mbali sana......zati naiti bana.....!
 
Acid.......... mbona hujaniletea chocolate?? me no touch no alcohol you know.
nasubiria siku utayotoa offer ya chocolate.......... wl join happily
 
Acid.......... mbona hujaniletea chocolate?? me no touch no alcohol you know.
nasubiria siku utayotoa offer ya chocolate.......... wl join happily
Habari yako MJI...upo? karibu ulanzi huku usalule..
 
.....hapa wapi vile? loh miss sana wapwaaaaz.........! Fungus boy.....ile kitu red rebel......daaah menikumbusha mbali sana......zati naiti bana.....!
NL uko wapi wewe??

Nimesoma mtu anasema kalabash... halafu Teamo anasema JJ, this is what i dont understand

which is which guys
 
Acid.......... mbona hujaniletea chocolate?? me no touch no alcohol you know.
nasubiria siku utayotoa offer ya chocolate.......... wl join happily
Nimekuletea Chock stick,.... you can lick it the way you want... OOPPPPss sorry

Hiyo avatar yako inanichanganya, yaani moyo unadunda dunia nzima? balaah

Umekula nini na huo moyo
 
wanachama wote mtapigiwa simu....!
saa kumi na moja tukutane pale pale....

ambae anadhani sina namba yake ya simu ANAWEZA NI-PM

Nimeku-PM Teamo usisahau kunipigia natafuta namna nitoke vip?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…