Friends in moshi

Lady G

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
515
Reaction score
131
male and female. Age 36-45. Just for company na kubadilishana mawazo. Pm is allowable
 
mmmh, makusudi ni kufikia nini?
Mie natafuta wa kuwowa.
 
nipo ila umri huo mwenzangu ni wa jubilee huo mi ni under 30 ninaruhusiwa
 
hivi kumbe angel na smile ni mayanki eeeh.

Napenda viyanki mie, lol.
 
Lady G, naruhusiwa kukutafuta japo sijafikia umri huo?
 
Kigezo cha umri cha nini hapo?au kuja ajenda imejificha??
 
Kigezo cha umri cha nini hapo?au kuja ajenda imejificha??

muhimu bwana, unaweza kukutana na mtu kama kitoto chako au mtu mzima kama baba yako, hapo stori zitapanda kweli!
 
mi niwakuleee kisumunduuu juu,jee nayo ni moshiii?maana nashindwa kuelewaa moshii ni pale mjini au hadi huku
 
jamani basi yoyote popote alipo aweza kuwa rafiki. Japo kigezo cha umri kuzingatiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…