Poa poa mkuu ngoja nikipata off nakucheki.Nakubali tutafutane kufahamiana mdau
Ni sehemu huku Umalila.Santiliya ina maana ipi mkuu?
Mbeya vijijini huko mkuu,Karibu sana kwetu Tarime Ila nimewahi pita enzi za 2000's sehemu hiyoSantiliya
Msalimie Mtendaji yule kijanaFine maendeleo sokoni hapa
Tupo mbeya mjini Kati hapaAsee kama mpo mjitokeze tufahamiane zaid wadau