hivi ni lini pia atakanusha kuwa hajawahi sema wanafunzi kupata mimba ni kiherehere chao?
Friends of Dr Slaa Friends of DR Slaa
Hawa ndo wanasema wanajiandaa kumpeleka DR Slaa Magogoni
Baada ya hapo watataka nini?
Je Dr Slaa ndo analeta undungu katika mabo ya kitaifa?
Slaa..When Chadema central committee endorsed my name to run for the presidency, four days before collecting parliamentary forms, I was shocked and fell sick for two days..
Hivi hapa PM alimaanisha nini kukunja ngumi ya mkono wa kulia namna hii????
Wadosi waliomuingiza Mkulu Magogoni. Hapa wanacheza mchezo wa kuigiza baada ya kui-EPA BoT.
Chini ni Fisadi Papa akiwa na PM wenu. Raha tupuuuuuuu........ Ahhh, huyu ndiyo alikuwa mweka hazina wa CCM.
Akiwa na Fisadi Mjukuuu....... aka RUGE mla watoto wa Kike Waimbaji.

Slaa..
Friends of Dr Slaa Friends of DR Slaa
Hawa ndo wanasema wanajiandaa kumpeleka DR Slaa Magogoni
Baada ya hapo watataka nini?
Je Dr Slaa ndo analeta undungu katika mabo ya kitaifa?
Tunaomba mawasiliano, namba za simu, email n.k. Tuko wengi tunataka kumsapoti Dr. Slaa. Tumechoka mno na CCM hasa huyu mbabaishaji JK
Hivi hapa PM alimaanisha nini kukunja ngumi ya mkono wa kulia namna hii????
Angalau sasa na wewe unaanza kumkubali Slaa taratiibu wengi mtamwelewa.FOD kwa Dr SLaa watataka awape uongozi wa kishikaji
Ndugu zetu FOD,
Kwa ishu ya talking points, you have your work cut out for you. Yaani huyu JK ameanza kwa kuhaha sana. Hajajua kwamba anatakiwa aseme amefanya nini miaka 5 iliyopita. Yaani anasema:
Sijawahi kunyonga Sijawahi kukataa kura za wafanyakazi.Yaani hivi amewahi kufanya nini? Aseme hicho, sio sijawahi hiki sijawahi kile. Au nimuulize: umewahi kulea mafisadi? Yaani watu waliohujumu uchumi, na ushahidi ukapatikana, Tanzania, Uingereza, Italia nk, kisha ukawalinda? Unataka tukuchague ili uendelee kuwalinda?