Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Uzi huu ni kwaajili ya marafiki wa Kaizer Chiefs ambao tumekuja Tanzania kwaajili ya kuisapoti timu yetu ili iweze kuibuka na ushindi kesho jumamosi.
Mnakaribishwa sana wote ambao ni Friends of Kaizer Chiefs, karibuni hapa jukwaani kujadili mawili matatu kuhusu mchezo huu.
Simba hatopata hata goli la offside kesho. Marafiki wa Kaizer Chiefs " Amakhosi " karibuni sana kwenye uzi