Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Sawa, halafu tuje tukutane hapa tena Julai 3Uzi huu ni kwaajili ya marafiki wa Kaizer Chiefs ambao tumekuja Tanzania kwaajili ya kuisapoti timu yetu ili iweze kuibuka na ushindi kesho jumamosi.
Mnakaribishwa sana wote ambao ni Friends of Kaizer Chiefs, karibuni hapa jukwaani kujadili mawili matatu kuhusu mchezo huu.
Simba hatopata hata goli la offside kesho. Marafiki wa Kaizer Chiefs " Amakhosi " karibuni sana kwenye uzi
Sawa, halafu tuje tukutane hapa tena Julai 3
Simba ya siku hizi![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1793101
Niko hapa taifa kwa mkapa yanayoendelea huko ndani ni hatari sioni Chiefs akitoboa.
wale babu wa kibiti wamepita hapa mkuranga kwa miguu wanasema mechi ishaisha lungu sita kwa bila
Tupo wengi sanaaaaaaa!
Kaizer anakufa kesho kwa Mkapa kwa goli nyingi na Simba watafuzu kwenda nusu.
Wa Mafia,wa Kisiju,Wa Tanga,wa Kigoma,wa Ukara na Ukerewe,wa Ufipa,wa Pemba,wa Kigoma wote wameelekeza nguvu kwa Simba ili ifuzu.
Mashabiki wa Simba kwenye matawi yote hayo maeneo niliyoyataja wameshikamana kuhakikisha Simba inafuzu.Uchawi hauvuki bahari
Dar derbyJulai 3 kuna nini kwani