Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
MimiHabari za mchana friends of Monastir,
Nani bado hajapata mwaliko kwenye hafla ya leo usiku?
Kwa hiyo?kichapo kiko pale paleNimekua nikishabikia hio team Toka miaka ya 2000
Vipi pale mnapouwa njiwa kwa shoka,halafu unajigamba shujaa๐คMtakufa vibaya nyie kama kifo cha mende
Mkuu upo kwenye list, fika wewe pamoja na plus one wakoMimi
Huwezi๐Sisi monasil tunaapa kumpa utopolo kipigo cha mbwa koko
Wapi ndugu,au pale ukoloni/msimbazi jengo jekundu.Mkuu upo kwenye list, fika wewe pamoja na plus one wako
GSM Tower Lumumba Street ๐คชWapi ndugu,au pale ukoloni/msimbazi jengo jekundu.
Ila tuna waambia pamoja na unaa,anapigwa mwarabu ๐คHuu huzi wakinafiki
Muda utaamuaIla tuna wazambia pamoja na unaa,anapigwa mwarabu ๐ค