Friends of PSG for this tie

Friends of PSG for this tie

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
Na wa Porto pia. Tunakutana hapa kuuona mwisho wa simulation & diving masters na wamwaga pombe. Macho yangu yatakuwa kwa Verratti, Marquinhos, Danilo na Casemiro. Fingers crossed angalau moja ipite.
 
Karibu ushuhudie jinsi kabumbu linavyosakatwa siyo kama lenu la jana full kuviziana..... Karibu umuone Messi akifanya yake siyo Ronaldo wako jana
 
Hahaha, nashukuru sana. Kabumbu kama mlilocheza na Sevilla sio?
 
Hahahaha!! Sevilla unaifahamu vizuri nao siyo cha mtoto kiivyo, ila mwishoni huku ni makosa ya kiufundi yaliyofanywa na kocha, anyway yameisha tuko kimataifa zaidi karibu ushuhudie soka safi, PSG wasifikir wako na wale watoto waliokuwa wamemzunguka refa...... Lol
 
Hahaha sasa nyie ndio mnaongoza kumlilia refa, kuliko hata wale 'watoto'. Nakumbuka kipindi Valdez yuko golini kwenu bado, alikuwa na mbio za hatari kumfikia refa, especially kwenye clasicos.
 
Hahaha!!Sisi huko unatusingizia nyie ndo zenu kulalamika, najua leo utakosa raha sana ukishuhudia tukitupia magoli........
 
Hahaha ni kweli nitakosa raha mkitupia, but i'm a fair guy, huwa natoa sifa panapostahili.
 
Bayern mpaka HT washakaa...

CCqBeZFWYAAvBV4.jpg
 
Safe to say Barca wameshashinda, hongera zao. Porto nao hawanipi matumaini sana, japo wanaongoza.
 
3-1, game bado iko open. Congrats cules.

Porto watakuwa wanaombea mpira uishe hiyo next week, well, ntakuwa naombea mpira uishe.
 
Safe to say Barca wameshashinda, hongera zao. Porto nao hawanipi matumaini sana, japo wanaongoza.

Asanteeeeeee, nashukuru umetimiza ahadi, najua haujapenda, ila nakuombea ushinde tukutane fainal lol
 
Back
Top Bottom