TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Hahaha, nashukuru sana. Kabumbu kama mlilocheza na Sevilla sio?Karibu ushuhudie jinsi kabumbu linavyosakatwa siyo kama lenu la jana full kuviziana..... Karibu umuone Messi akifanya yake siyo Ronaldo wako jana
Tunakutana hapa kuuona mwisho wa simulation & diving masters. Macho yangu yatakuwa kwa Verratti na Marquinhos.
Hahaha, nashukuru sana. Kabumbu kama mlilocheza na Sevilla sio?
Nazungumzia games zote mbili man.Mkuu, Marco Verrati hatakuwepo leo. Na Ibra na David Luiz. Barca itaibuka na ushindi mnono jijini Paris na Catalunya
Hahaha sasa nyie ndio mnaongoza kumlilia refa, kuliko hata wale 'watoto'. Nakumbuka kipindi Valdez yuko golini kwenu bado, alikuwa na mbio za hatari kumfikia refa, especially kwenye clasicos.Hahahaha!! Sevilla unaifahamu vizuri nao siyo cha mtoto kiivyo, ila mwishoni huku ni makosa ya kiufundi yaliyofanywa na kocha, anyway yameisha tuko kimataifa zaidi karibu ushuhudie soka safi, PSG wasifikir wako na wale watoto waliokuwa wamemzunguka refa...... Lol
Hahaha sasa nyie ndio mnaongoza kumlilia refa, kuliko hata wale 'watoto'. Nakumbuka kipindi Valdez yuko golini kwenu bado, alikuwa na mbio za hatari kumfikia refa, especially kwenye clasicos.
Hahaha ni kweli nitakosa raha mkitupia, but i'm a fair guy, huwa natoa sifa panapostahili.Hahaha!!Sisi huko unatusingizia nyie ndo zenu kulalamika, najua leo utakosa raha sana ukishuhudia tukitupia magoli........
Hahaha ni kweli nitakosa raha mkitupia, but i'm a fair guy, huwa natoa sifa panapostahili.
Safiii,basi after match nitakuja hapa nione uchambuzi wako......
3-1, game bado iko open. Congrats cules.
Porto watakuwa wanaombea mpira uishe hiyo next week, well, ntakuwa naombea mpira uishe.
Safe to say Barca wameshashinda, hongera zao. Porto nao hawanipi matumaini sana, japo wanaongoza.
Asanteeeeeee, nashukuru umetimiza ahadi, najua haujapenda, ila nakuombea ushinde tukutane fainal lol
Asanteeeeeee, nashukuru umetimiza ahadi, najua haujapenda, ila nakuombea ushinde tukutane fainal lol