Safiii,basi after match nitakuja hapa nione uchambuzi wako......
Hahaha kama ni mimi, nilirudi nimewapa pongezi zenu ki-unafiki hivyo hivyo. Ila Game haijaisha, bado inaweza kugeuka. Tutaona wiki ijayo.Mtani nipe update.... jamaa alirudi?
Daslam Simba wananiboa
England Liverpool wanaiua kwa presha
Spain Messi ananitibu kupitia dawa Barcelona...
Mungu yu mwema kwangu
Hahaha kama ni mimi, nilirudi nimewapa pongezi zenu ki-unafiki hivyo hivyo. Ila Game haijaisha, bado inaweza kugeuka. Tutaona wiki ijayo.
Hakyamama una moyo mgumu kama Mizengo Pinda
Ukutane fainal na nani?
Mtani nipe update.... jamaa alirudi?
Daslam Simba wananiboa
England Liverpool wanaiua kwa presha
Spain Messi ananitibu kupitia dawa Barcelona...
Mungu yu mwema kwangu
Hahaha, bila moyo mgumu kwenye mpira huwezi ku-survive. Wiki ijayo si mbali
Hahahaha dady nawe.... Tukutane na RM
-Mimi Madrid sitaki hata kuwasikia, hususani Modric na James Rodriguez.
Heeee!! Walikufanyaje daddy????
Kama unataka waje wakutano na Man U yako huko mbeleni sawa.
-HahahahahahahahahahahaMsimu ujao tumo ndani ya CL tutawaonesha still England ina hazina ambayo ni The United.
Aleyn nisaidie sikumuelewa Neymar alimaanisha nini alivyoweka mpira tumboni
-Mara nyingi wachezaji wakiweka mpira tumboni basi wanaashiria wapenzi wao wana ujauzito.